Kapingaz Blog

Saturday, February 4, 2012

SAKATA LA EPHRAIM KIBONDE NA MGOMO WA MADAKTARI

Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde
 
"MANENO HAYA KUTOKA MDAU WA BLOG YA JAMII FORUM KWENDA KWA KIBONDE!"
 
Ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr
Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!
wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja.
jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!

sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde of all the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani??
au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwa wewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni??
Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??
KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA

28 comments:

Anonymous said...

Haujui unachozungumza wewe.....Kama wewe ni DR basi huna maadili na Elimu yako haikusaidii hata kidogo....Ninyi ndiyo madaktari mnaobaka wagonjwa kwa kuwachoma dawa za usingizi.Embu acheni hizo kashfa kwa wagonjwa na watu walio na maambukizi.........Mnatukera sana na kifuatacho na Walinzi wa maisha na mali zenu wakigoma mtajificha wapi?Maana mtahaibika hapa na professionals zenu za kuungaunga

Anonymous said...

kama kuna aliyesoma kwa kuunga unga we utakua mmoja wao coz we ndo ucyejua unachoongea m2 wangu.Nategemea cku moja yakikukuta ujitibu mwenyewe huko nyumbani kwako.Kumbe kuwasaidia imekua kosa cyo??
..midomo yeni itawaponza ndg zangu 5yrs darasani hlf we unaropoka 'elimu ya kuunga unga'..
..we elimu yako ni ya ngazi gani coz inaonyesha hata darasa la 4 ulifeli...xx

Anonymous said...

kwan huyo Kibonde ndo msemaji wa wizara ya Afya?
kinacho mtekeya hadi kuropoka mambo ambayo hana mamlaka nayo ni nini au kwa sbb anasikika kwenye redio ndo kosa?..
ingekua cyo hao ma-DR wa muhimbili angekua wapi leo? au ndo shukrani ya punda?
sasa augue tena tuone naye anapanda pipa kuelekea India.
kila k2 we Kibonde unajua??
njaa zitakutoa roho ndg yangu coz unaboa sana tena sana.
kwenye suala la mikopo umo,mgomo wa ma-DR umo.hao wenzako wa JAHAZI wana akili sana ndo mana hutokuta cku wanabwabwaja hovyo km wewe.

Anonymous said...

nilisikitishwa saana na negative coments za huyu kibonde mwnzoni nilifikiri kachanganyikiwa ila baadae nikagundua ni 1.elimu ndogo ndo tatizo, pili ni ivo vicontracts anavopatapata akapewa milion 1 au mbili ndo vinamchanganya na kumpa kibuli, wivu na roho ya kwa nini, tatu anafikiri maish yake yana guarantee kwa kua karibu na jamaa wa ikulu akiugua atapelekwa india kama wakubwa wafanyavyo, well and good. Kibonde roho za watu zinazoendelea kuteketea ujue umeshiriki kuziteketeza, umetengeneza maadui wengi zaidi kwa kauli zako izo, na sijui ukipata accdent sasa ivi utaenda wapi? Ukiugua ghafla usiku au ukapatwa heart attack utaenda wapi wewe kama si kwa hawa hawa madaktari uliokuwa unawaponda na kuwaona hawafai wenye vibuli na majivuno? Jifunze kuchgua ya kusema kaka na usitukane wakunga..kaka kwako Sillence is z best option. Na kama we na familia yako mna guarantee ya maisha yenu? Au mtapelekwa india, sisi watanzania wa hali ya chini tunawaitaji hao madaktari kuokoa maisha yetu.

Anonymous said...

Napenda kuchangia katika mjadala huu, jamani nakubali madaktari mnastahili malipo mazuri kutokana na taaluma yenu. Lakini msifikie mkajiona kwamba katika maisha ni nyinyi tu ndio bora, kuna wanajeshi ambao wao wanatulinda kila siku mimi na wewe hata ukaweza kusoma na kufanya kazi. Kama kungekuwepo kuna vita ungefikia hapo? Kwa hiyo tusijiweke kwenye nafasi ya juu kabisa. Hata mafundi umeme kazi yao ina hatari kuliko hata ya kwenu.Kifo muda wowote tena cha haraka, si bora wewe unaanza kuambukizwa hata wosia utatoa. Halafu taaluma yenu pia inamaadili. Ni huyo daktari anayetoa siri za mgonjwa ametimia kweli? ndio maana kaambiwa ameungaunga kwa sababu ya kukosa ethics. Daktari hata ukitukanwa hutakiwi kutoa aibu za wagonjwa.

Anonymous said...

Guys,watanzania wengi hawaelewi nini kinaendelea hasa suala la mgomo. Suala la posho za wabunge watu kimya wanaona poa.
Daktari akidai haki yake watu midomo juu. Ifike wakati watanzania tuamke tuache unafiki.

Mdaktari mimi nawapa BIG UP,pia walimu njooni mitaani pia kuiadhibu serikali.

Nchi hii imekuwa ya group la watu wanaoamua kutumioa pesa za nchi bila kujali maslahi ya wengi. Anaye sema madaktari hawafai aende yeye akafanye hizo kazi kama ataweza. Kuweni pamoja madaktari mtafanikiwa dalili zimeanza kuonekana. A

Anonymous said...

KIBONDE UMETUKANA WAKUNGA,AU UMECHAFUA KAMBI MTU WANGU. KAMA KWELI UNAGONJWA LA MWEZI MCHANGA KAOMBE MSAMAHA BWANA WAMBIE TU KUW AMWEZI ULIKUWA MCHANGA NDO MAANA UMEROPOKA

RIDHIONE JN said...

ndugu zangu huyu kibonde amezidi kihere here sana!!tatizo anajipendekeza kwa ccm ili waje wamsaidie..wakati fulani wanafunzi wa udsm waligoma yeye akajipachika usemaji mkuu wa wizara ya elimu..akasema wanafunzi wa udsm ni wahuni wanjiuza kwenye mabaa, tukamstahi ila ipo cku ataipata!!

Anonymous said...

dah ila kweli kibonde umezidi!kun a sometimez unaboa sana yaani hujali hata fadhila za madactari?kwani hao madactari wakilipwa madai yao we inakuuma nini?assume kama mmoja wa madactari hao angekuwepo mkeo,mamayako,babayako au ndugu yako yeyote ungethubutu kutoa nonsense kama hizo?let say wew na division 4 yako hiyo upelekwe hapo hospitali unaweza hata kujua panado inatakiwa itumikeje?a acha bwana mambo yako ya kuropokaropoka yatakuja kukutokea puani.....halafu ninyi watu wa madia mnatakiwa kuwa kiunganishi kizuri kati ya serikari na jamii na kukemea maovu yote yanayofanywa na serikali kwa wanajamii sasa tena nyi mmekuwa upande wa serikari au mnataka tupige kura ya kutokuwa na imani kwenu na hivyo vituo vyenu vifungwe?na hii nafkiri itakuwa dawa kwako na kwa wengine wenye tabia kama zako.imout!

Anonymous said...

Mi namshauri Kibonde awe makini na anchoongea. Si kweli kwamba ye ndo anajua ukweli wa kila jambo mpaka akaw anazungumza kila linalokuja mdomoni, ni vema ajue watu wanapokerwa hawatampeleka mahakamani akafute usemi wake badala yake watajichukulia sheria mkononi. Ajue kwamba uvumilivu wa watu una mwisho - wakichoshwa na maneno yake awe tayari kukabiliana nao.

masiko junior said...

mazee huyu jamaa ni radical kinyama,anajidanganya na fadhira za wakubwa haoni jk kaanza kuwatosa waskaji zake coz anajua tz inaelekea wapi,sembuse huyu kibonde

Anonymous said...

kibonde ni mtangazaji wa redio ni mwandishi wa habari hayo aliyo yasema sio yake ni sehemu ya kazi kwa kuwakilisha mitazamo mbalimbali ya jamii, lakini kweli nyie madaktari kuona kwamba nyie ndo mwisho ya wote ni makosa makubwa sana kila mtu ana umuhimu wake katika jamii, na si nyie peke yenu, kujiona mnanafasi ya pekee pekeyenu ni makosa makubwa sana. sasa kuanza kusema ugonjwa wa kibonde ndo ujanja au hapo mmechemka

Anonymous said...

aliyetoa hiyo siri hana lolote na hata akili yake haifanyi kazi...hata kudanganya hajui?hata kama ni muathirika ndio waugue wakati mmoja na mkewe..?labda kama aliwaloga yeye alafu anasingizia ukimwi..kibonde usiwajali hao hayo ni madebe matupu hayaishi kuvuma...

Anonymous said...

aliyetoa hiyo siri hana lolote na hata akili yake haifanyi kazi...hata kudanganya hajui?hata kama ni muathirika ndio waugue wakati mmoja na mkewe..?labda kama aliwaloga yeye alafu anasingizia ukimwi..kibonde usiwajali hao hayo ni madebe matupu hayaishi kuvuma...

Anonymous said...

mh! makubwa haya

Anonymous said...

KIBONDE UNAMBWELAMBWLA NINI MAANA HUJUI LOLOTE SASA ISSUES ZAKO ZOTE ZINAMWAGWA HADHARANI. DU KUMBE UNAOO..

Mbele said...

Anonymous wa kwanza ananishangaza. Hana hakika kama aliyeandika makala ni daktari. Lakini hilo halijamzuia kurusha mashambulizi kwa msingi kwamba mwandishi yule ni daktari.

Halafu, pamoja na kuwa hajui kama mwandishi yule ni daktari, anonymous anadiriki kumwambia "Haujui unachozungumza wewe."

Sasa ni nani hapo asiyejua anachozungumza. Mbumbumbu wengi wanasalimika katika hizi blogu kwa kujificha chini ya kivuli cha anonymous. Vinginevyo wangetambulika wazi huko vijiweni tunakokutana.

Halafu, ni upotoshaji kusema kuwa madai ya madaktari ni kuhusu maslahi yao tu. Kwa nini watu hawasemi pia kuwa madaktari wanadai pia vitendea kazi na madawa? Kwa nini watu hawasemi kuwa madaktari wamesema wamechoka kuona waTanzania wakifa kwa kukosekana kwa vitendea kazi ambavyo vingewawezesha madaktari hao kunusuru uhai wa watu hao? Hilo jambo nalo madaktari wamelitaja, lakini watu wanalifunika.

Nilimsikia Dr Ulimboka akihojiwa katika televisheni, akaongelea suala la vitendea kazi. Alitoa mfano wa kifaa kiitwacho CT-Scan cha Muhimbili ambacho alisema kimeharibika na imepita miezi zaidi ya saba hakijakarabatiwa au kununuliwa kingine. Alisema hakuna sababu kwa nini serikali isinunue vifaa hivyo kwa hospitali za mikoa mingine pia, kwa sababu watu wanalazimika kusafiri mbali kupata huduma ya kifaa hicho.

Hayo wadau hawayasemi. Kweli watu wengine ni wa ajabu.

Anonymous said...

kwamana hiyo sasa, watu washindwe kutoa mawazo yao kwa kuhofia kuwa wataugua siku moja? kama madaktari walivyo fanya kuokoa maisha ya Kibonde ilikuwa ni kutimiza wajibu na majukumu yao ya kila siku basi hata kibonde pia alizungumza kwakuwa ni majukumu na wajibu wake kulingana na kazi yake. TUHESHIMU UHURU WA MAWAZO YA MTU NA TUYAPINGE KWA HOJA.
LEO KWA KIBONDE KESHO KWAKO, KWANI NI WAZI KUWA duty of confidentiality IMEPUUZWA.

Kilasa said...

Kweli mdomo uliponza kichwa....wote tumefahamu kuwa Kibonde ni muathirika.

Pole sana. Cku ingine utachagua maneno ya kuongea.

Anonymous said...

AMA Kweli inchi hii hatuna "Madktari Wa Dhati ". Ndio hawa waliomfanyia operation ya kichwa moonwalk badala ya mguu. na. Wakamfanyia operation ya mguu badala ya kichwa. Ndii nyie hao hao mlimua mzee wangu Kwa kumuwekea drip ya glucose wakati alikua na kisukari. Same doctors killed my grandmother by precribing an operation that should not have be done. Many, not majority of our doctors in this country commit lot of errors killing hundreds of Tanzanians, killing hundreds of pregnant women, children n.k.

Please, accept to be critised. Msitichie Watu. This country is build by all professionals, IT, doctors, bankers, finance, police, mahakimu, wanajeshi, walimu, na wakulima masikini. d

Anonymous said...

KIBONDE ACHA DOMO KAYA, UTAJIPONZA ONA SASA WATZ WASHAJUA WE NI MUADHIRIKA NA NINA UHAKIKA aliyeandika maneno hayo ni msema kweli na anajua anachosema awe ni Dr au la maana kwanza hakuwa adui yako ila ni baada ya wewe KIBONDE kufunua Domo bila kipimo ndio umekuwa adui wake na sisi waTZ tulio wastaarabu.
KIBONDE jitambue kasoro zako la sivyo utajuta baadae.

Anonymous said...

Halafu jamani huyu kibonde kumbe nyie hamumjui vizuri mi namfahamu siku nyingi sana nakumbuka kipindi anaugua na hata kabla kuna Kigogo moja huyu dogo Kibonde alikuwa msenge (shoga)wake na ndie aliyemwambukiza ngoma Kibonde.
hii ni kwa taarifa yenu tu ili mumtambue Ephraemu Kibonde Almaarufu Aunt Rahimu.

Anonymous said...

Ni kweli Kibonde anaonekana kidomodomo, halafu image aliyojijengea na shule yake pengine sio sawa. Lakini hii haiondoi lawama kwa madaktari. Inaonekana wako arrogant na kudhani wao ni fani pekee muhimu nchini. Hebu niambie bila jeshi, bila polisi, bila fundi bomba, bila mwalimu, bila mzoa takataka, bila injinia, ingekuaje. Kuna kutegemeana. Sasa sisi tumesoma sana inabidi tuchukue hela yote, hakuna kitu kama hicho, madaktari wapate na wengine pia wapate. Sio madaktari wadhani ujuzi wao ni mtaji wa kibepari na kutaka umilionea kupitia ajira.

Anonymous said...

Do the right thing, at the right time and the right place!

Anonymous said...

hakuna taaluma ambayo ni muhimu zaidi kuliko nyingine kama ni daktari mhasibu mhandisi polisi mwanajeshi housegirl wote wana nafasi na mamlaka sawa ktk ujenzi wa nchi.Chukulia mfano vyombo vya ulinzi na usalama vigome kesi za kupigwa roba na vibaka na kuvamiwa na majambazi zitaongezeka kwa kiasi gani?Nakubaliana na mgomo wa madaktari kwa ajili ya uboreshwaji wa vitendea kazi na mazingira ya kufanya kazi ila sio kupandishiwa mishahara kwa kiwango nilichosikia(wenyewe wanakijua)...vilevile tukubaliane kwamba kila mtu ana mabaya na mazuri yake sio vizuri kumuanika mtu kwa baya alilofanya jifikirie kwanza wewe umefanya mabaya mangapi imagine inatokea siku mungu anaamua kuanika mabaya ya kila mtu kuna ambaye atamwangalia mwengine usoni au kuna atakaye jiona yeye mwema zaidi kuliko mwingine.Mtu akifanya kosa anaelimishwa na kusawazishwa na sio kudhalilishwa.Aliyeposti habari mbaya kuhusu kibonde iwe ya kweli au si kweli ROHO yake itakuja kumsuta hapahapa duniani au siku ya hukumu

Anonymous said...

Tabu yetu watanzania ni wepesi wa kulaumu na matusi mnasahau ni haki ya kila mtanzania kutoa maoni yake vile oanavyo kibonde ni haki yake kusema aliyoyasema,badala ya kumnyanyapaa toa hoja yakumpinga,je na nyie mko salama?

Anonymous said...

Mtangazaji kibonde anayo haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanszia. Unayechangia, unatakiwa kuchangia hoja hii kwa kutoa hoja na sio kufanya personal attack kwa Kibonde. Hii ni kuingilia uhuru wa mawazo ya mtu na maisha yake binafsi na hivyo kuondoa haki yake ya msingi ya kutoa mawazo yake. Awe mwathirika au si mwathirika anayo haki ya kutibiwa na madaktari hawahawa ambao wamesomeshwa na kodi za nchi hii.

Hata hivyo madaktari wanayo haki ya kudai maslahi yao kwa mujibu wa sheria za kazi zinazotawala utumishi wa umma, aidha sheria hizo zinabainisha kuwa mtumishi anaweza kugoma kwa ajili ya kudai maslahi yake pale annapoona anaonewa.

Swala la kudai vitea kazi ni la msingi ambapo serikali inatakiwa kultekeza hilo na ikiwa ni jukumu lake la msingi. kwa kufanya hivyo tutakuwa tumeokoa rilimali fedha kubwa inayotumika kuwapeleka watumishi na raia wengine kwenda India nakuongeza pato la taifa la India. Na ikumbukwe kuwa si vigogo tu wanoenda india kutibiwa hata raia wa TANZAINIA WANAENDA HUKO KUTIWA KWA GHARMA ZA SERIKALI.

Madaktari pia lazima watambue kuwa wao ni muhimu sawasawa na watumishi wengine wote katika kulitumikia na kulijenga taifa hili. Vitendea kazi wanavyodai vimetengenezwa na injinia, madawa na mkemia, mwalimu amemfundisha, mkulima amelia chakula, muhudumu amepiga amesafisha ofisi, mchungaji ameliombea Taifa.

Hivyo kila mmoja wetu anao umhimu wa pekee katika kulijenga taifa letu.

july said...

He!
Kumbe walio athirika hawafai kuongea jambo au kukosoa?

Hivi kwani UKIMWI umekoma kufanya maambukizo mapya?

Hivi ukiwa mwanamedia au mwandishi wahabari unapaswa kuunga mkono kila jambo, wazo tofauti ni mwiko?

Kwani madikatari ni watakatifu sana kiasi hawa paswi kukosolewa?

ukweli tumeshuhudia makosa makubwa na ya makusudi yanayo fanywa na madikitari kama>: kuuza madawa na vifaa vya tiba kwa maduka binafsi (kuibia hospitali ya serekali), kuomba rushwa ya pesa hadi ya ngono, kutoa majibu ya kejeli na unyanyapaa kwa wagonjwa, vifo vingi ni vya uzembe, kuwapa wagonjwa madawa sio sahihi.....

Hivi taaluma yenu ndio hii mlioandika hapa?

MIMI BINAFSI SIAMINI DAKITARI KUANDIKA UTUMBO HUU LABDA KUNA KISASI HAPO.

POLE SANA KAKA KIBONDE.