Kapingaz Blog

Thursday, November 8, 2012

Mbio za Mwenge wa Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuuenzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tanzania ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo Zatambulishwa BungeniMkurugenzi wa kampuni ya Intellectuals Communication Limited Innocent Melleck kulia Mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na mbunge wa Singida Tindu Lissu mara baada ya kikao cha bunge ambapo spika alitambulisha Rasmi Bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuuenzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tz ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo.

Mkurugenzi wa kampuni ya Intellectuals Communication Limited Innocent Melleck akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh Anna Makinda mara baada ya kikao cha bunge ambapo spika alitambulisha Rasmi Bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuunzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tz ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo.
waziri wa Nishati na Madini Simbachawene mara baada ya kikao cha bunge ambapo spika alitambulisha Rasmi Bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuuenzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tz ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo.
Mkurugenzi wa kampuni ya Intellectuals Communication Limited Innocent Melleck kulia akiwa na Spika wa bunge la jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Anna Makinda mara baada ya kikao cha bunge ambapo spika alitambulisha Rasmi Bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuuenzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tz ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo.

0 comments: