Kapingaz Blog

Tuesday, January 15, 2013

KAPINGAZ BLOG YAPELEKA RAMBI RAMBI ZAKE KIGAMBONI KWA MDAU WAKE ERASTO MAPUNDA KWA KUPATA MSIBA WA KUFIWA NA MKEWE.

 


Henry Kapinga Mmiliki wa Kapingaz Pub Kinondoni

John Gingi Mtaalam wa Networking kutoka Net Solutions Ltd ambako mfiwa Erasto Mapunda anafanya kazi

MV Magogoni tukipishana nayo wakati tukielekea Kigamboni
 

Jana KAPINGAZ Blog ilielekea Kigamboni kutoa pole kwa mdau na mwanaharakati mwenzetu katika tasnia ya IT Ndugu Erasto Mapunda kwa kupata msiba wa kufiwa na Mkewe, kifo hicho kilitokea katika hospitali ya Mwananyamala, mazishi yanategemewa kufanyika Kesho 16/01 katika makaburi ya huko huko Kigamboni.

0 comments: