Kapingaz Blog

Monday, November 10, 2014

MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI MH.MCHUNGAJI LUCKSON MWANJALE AANGUKA GHAFLA BUNGENI LEO


Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chango cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo

0 comments: