Kapingaz Blog

Sunday, January 15, 2017

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI HATA HAPA,ST FRANCIS, KILIMANJARO ISLAMIC NA KAIZEREGE WAONGOZA,KUMI BORA NA KUMI ZA MWISHO ZOTE ZIKO HAPA


Baraza la mitihani nchini(NECTA) limetoa matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha Pili. Ufaulu waongezeka kwa 2% Shule za St. Franscis, Kilimanjaro Islamic na Kaizerege zaongoza Shule 9 kati ya 10 zilizofanya vibaya ni kutoka Mtwara

0 comments: