Kapingaz Blog

Monday, January 16, 2017

msajili wa mahakama ya kimbari ya Rwanda amtembelea Waziri Mwakyembe


KIMBA
Msajili wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Masalia ya Kesi za Mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda Dkt. Olufemi Elias akizungumza na Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe alipokutana nae ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
KIMBA 1
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison  Mwakyembe akizungumza wakati alipokutana na ujumbe wa Msajili wa Mahakama ya Masalia ya Kesi za Mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda Dkt. Olufemi Elias aliekaa kulia kwa Mhe. Waziri Mwakyembe
KIMBA 2
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison  Mwakyembe akisikiliza nenoo kutoka kwa mmoja wa wajumbe ambao waliambatana na Msajili mpya wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Masalia ya Kesi za Mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda. 
KIMBA 3
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison  Mwakyembe akisisitiza jambo ofisini kwake jijini Dar es salaam wakati alipokutana na ujumbe wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Masalia ya kesi za mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda ambao ulikwenda wizarani kwa ajili ya kumtambulisha msajili huyo Mpya Dkt. Olufemi Elias kwa Mhe. Waziri.
…………
Waziriwa Mambo ya KatibanaSheriaMhe. Dkt Harrison MwakyembeamekutananakufanyamazungumzonaMsajilimpyawailiyokuwaMahakamayaUmojawaMataifayaMasaliayakesizamauajiyaKimbariyaliyotokeanchini RWANDA (UNITED NATIONS RESIDUAL MECHANISM FOR INTERNATIONAL CRIMINAL TRIBUNAL- UNMICT)  Dkt. Olufemi Elias.
UgenihuowaMsajiliDkt. Olufemi Elias kumtembeleaMheWaziriMwakyembeofisinikwakejijini Dar es salaam ulikuwakwaajiliyakumsalimianakujitambulisharasmikwakekwambayuponchininaameshaanzakaziyakekamamsajiliwamahakamahiyo.
UgenihuowamsajiliulimtaarifuMheWazirikuwamaktabayamahakamahiyoiliyokomjiniArushainawezakutumiwanawasomiwasherianchinihasa wale wanaotakakufanyautafitikatikamasualayamauajiyakimbariyaRwanda .
Akizungumzakatikakikaohicho, MheWaziriamepongezaujiowamsajilihuyonatimuyakenakumuahidiushirikianozaidikatikakuhakikishaanatekelezavizurikazizakeakiwahapanchini.
KuhusuuwezekanowakutumiamaktabayamahakamahiyoMhe. Wazrialielezeakuvutiwakwakenampangohuonakuahidikuwaatakuwabalozimzuriambayeatafikishaujumbehuokwashulenavitivyovyasherianchiniiliviwezekutumiarasilimalihiyokwaajiliyakuboreshasektayasherianchini

0 comments: