Kapingaz Blog

Monday, January 9, 2017

MWANAMUZIKI MATONYA ATOA KIBAO KIPYA: Hakijaeleweka!


Msanii kutoka Tanga, Seif Shaaban maarufu kama Matonya  ametuletea video yake mpya wimbo unaitwa ‘Hakijaeleweka‘, humo ndani ameonekana mrembo Gigy Money, Video imeongozwa na Tone Blaze.

==>Itazame  hapo  chini
 

0 comments: