Kapingaz Blog

Sunday, January 15, 2017

TAZAMA SHOW YA DIAMOND KWENYE UFUNGUZI WA AFCON 2017


Jumamosi hii Diamond Platnumz na dancers wake, akishirikiana na wasanii wengine akiwemo Mohombi na Lumino, walitumbuiza kwenye ufunguzi wa kombe la AFCON
2017 nchini Gabon. Tazama video hiyo chini

0 comments: