Kapingaz Blog

Friday, January 6, 2017

UZINDUZI WA KIWANDA CHA AZAM DAIRY PRODUCTS LIMITED FUMBA.


daily
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo kukizindua rasmi,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud.
daily-1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Habari zaidi bofya: HAPA

0 comments: