Kapingaz Blog

Wednesday, February 8, 2017

DK. PALLANGYO AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA


NGD
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Mhandisi  Juliana Pallangyo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikia  ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo  ya Afrika (AfDB) na watendaji kutoka  Wizara ya Nishati na Madini kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
NGD 1
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Mhandisi  Juliana Pallangyo akielezea sekta ya nishati katika kikao hicho
NGD 2
Sehemu  ya Watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Mhandisi  Juliana Pallangyo (hayupo pichani)

0 comments: