Kapingaz Blog

Wednesday, February 8, 2017

VIDEO: MAJINA YA 65 YA WANAOJIHUSISHA DAWA ZA KULEVYA YAMETANGAZWA NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA LEO


PAULO
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Paulo Makonda leo amezungumza na waandishi wa habari kwa awamu ya pili akitaja orodha ya jumla ya watuhumiwa 65 ambao wanafanya biashara ya madawa ya kulevya huku List hiyo amewataja baadhi ya watu maarufu hapa nchini akiwemo Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusufu Manji.

0 comments: