Kapingaz Blog

Monday, February 6, 2017

VIDEO: Msikilize Rais Magufuli Akiongelea Swala la Madawa ya Kulevya


Rais Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya bila kuangalia umaarufu au cheo cha mtu.

Magufuli ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza  mara  baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Vanance Mabeyo pamoja na viongozi wengine wa majeshi, na mabalozi.

==> Msikilize hapo chini akiongea
 

0 comments: