Kapingaz Blog

Friday, April 14, 2017

MAAFISA UGAVI KUWENI NA MASHAMBA YA MFANO ILI WAKULIMA WAIGEMkurugezi wa halimashauri ya wilaya namtumbo mkoani Ruvuma MARCO KILUNGU amewaagiza maafisa ugavi wa vijiji hadi wilaya, kuwa na mfano wa shamba darasa ili kuongeza amasa kwa wananchi badala ya kupiga morojo mtaani.

0 comments: