Kapingaz Blog

Sunday, April 9, 2017

MAMA MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA KATIKA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD JIJINI DAR ES SALAAM LEO


oc1
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam   alikoenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Grace Magembe wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na  Diwani wa Kata ya Kivukoni Mhe. Henry Sato Massaba  wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
 
Habari kwa kina bofya: HAPA

0 comments: