Kapingaz Blog

Friday, April 21, 2017

VIDEO: Msikilize Mwakyembe Akiongelea Sakata la Richmond, huku Akimtuhumu Nassari Kuingia na Konyagi Bungeni


Jana Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe alimtuhumu Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwa  kuingia bungeni akiwa amekunywa pombe  aina ya konyagi, huku akijibu tuhusa za sakata la Richmond

==>Msikilize hapo chini


0 comments: