Kapingaz Blog

Wednesday, April 5, 2017

YALIYOJIRI BUNGENI LEO APRIL 5,2017 MJINI DODOMA.


A
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 1
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.

Habari zaidi bofya : HAPA

0 comments: