Kapingaz Blog

Sunday, June 18, 2017

Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella

Mh. Balozi George Kahema Madafa katika tukio la kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais Wa Jamhuri ya Italia Mh. Sergio Mattarella kwenye Ikulu ya Rais jijini Roma hapo tarehe 18.05.2017. Mh. Balozi Madafa aliambatana na maafisa wawili wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia pamoja na mkewe Bi. Esther Bhoke Madafa.
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 1

balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 2

balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 4balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 10
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 11

0 comments: