Kapingaz Blog

Wednesday, June 28, 2017

DAWASA YAPONGEZWA KWA UTENDAJI


DW1
Meneja wa Kituo cha uzalishaji maji Ruvu Juu Bw. Emmanuel Makusa  (katikati) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (kushoto) wakati wa ziara yake ya kukagua miradi inayotekelezwa na DAWASA katika Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam mapema jana.
DW2
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (katikati) akisisitiza jambo wakati wa ziara yake ya kukagua miradi inayotekelezwa na DAWASA.Kulia ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa DAWASA  Romanus Mwangi’ngo na kushoto ni Meneja wa Kituo cha uzalishaji maji Ruvu Juu Bw. Emmanuel  Makusa. 

Habari kwa kina bofya: HAPA

0 comments: