Kapingaz Blog

Sunday, June 18, 2017

MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA


kam1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
kam2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoaja na balozi wa China nchini Dkt.Lu Youqing ,MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala na viongozi wengine wa Serikali na wa Chama cha Wafanyabiashara wa China nchini Tazania mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania

Habari kwa kina bofya: HAPA

0 comments: