Kapingaz Blog

Sunday, June 11, 2017

RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA


 Kamanda wa Polisi Mkoani
Tanga,Benedict Wakulyamba akizungumza na waendesha pikipiki maarufu kama
bodaboda wilaya Muheza wakati wa  ufunguzi wa mpango wa kutoa elimu
waendesha bodaboda mkoani hapa ambao ulihudhurwa na wadau mbalimbali
ikiwemo madereva wa bodaboda kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama
barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah kushoto ni Kaimu Mkuu wa
Polisi wilaya ya Muheza (OCD) ambapo aliwataka madereva wa bodaboda
kuacha kutumika kuwabeba wahamiaji haramu na dawa za kulevya kwani
watakaokamatwa hawatapona
 Kamanda wa kikosi cha Usalama
barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah akizungumza katika kikao
hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba na
kulia ni Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald

Habari kwa kina bofya: HAPA

0 comments: