Kapingaz Blog

Tuesday, June 20, 2017

Shabiki maarufu wa Yanga amefariki Dunia

Kama ni shabiki wa soka la Bongo hususani Dar Young Africans najua utakuwa unamfahamu shabiki maarufu wa Yanga ambaye amekuwa na utamaduni wa kuifuata timu mahali popote inapokwenda almaarufu kwa jina la Ally Yanga.

Taarifa ya kusikitisha iliyonifikia kuhusiana na Ally Yanga ni kuwa amefariki dunia katika ajali ya gari Dodoma eneo la Ipogolo, Ally Yanga imeripotiwa kuwa alikuwa katika mbio za Mwenge.

0 comments: