Kapingaz Blog

Wednesday, June 7, 2017

TAIFA STARS YAWASILI KUTOKA MISRI,YAISUBIRI KWA HAMU LESOTHOTimu ya Taifa ya Tanzania Maarufu kama Taifa Stars wamewasili salama Tanzania mara baada ya kumaliza kambi yao ya maandalizi ya wiki moja huko nchini Misri. Stars Itashuka Jumamosi katika uwanja wa Chamazi kucheza na Lesotho.

0 comments: