Kapingaz Blog

Wednesday, June 21, 2017

WAZIRI MKUU AWASILI MWANZA AKIWA NJIANI KUELEKEA CHATO GEITA


MWANZA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Juni  21, 2017 akiwa njiani kueleakea Chato ambako atakuwa na ziara ya siku mbili. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments: