Kapingaz Blog

Monday, July 3, 2017

MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM


ds1
Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria  na Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa kushoto  na muigizaji wa filamu  za kibongo Riyama Ally  wakipozi kwa picha nyuma ya bango la picha ya muigizaji huyo iliyopo katika banda la Multchoice  katika  Maonyesho ya Biashara ya 41 yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE).
ds3
Shumbana Walwa kushoto wakipozi kwa picha na muigizaji wa filamu  za kibongo Riyama Ally  katika banda la  kampuni hiyo kwenye maonyesho ya Biashara ya yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
ds4
Baadhi ya wananchi  wakipata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa Multchoice katika banda hilo.

0 comments: