Kapingaz Blog

Tuesday, July 4, 2017

Picha: Rais Magufuli Alivyotua Jijini Mwanza na Kisha Kuingia Uwanjani Kutazama Mpira


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.

Habari kwa kina bofya: HAPA

0 comments: