Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitoa pole kwa wafiwa kwenye msiba waaliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Baadhi ya wafiwa kwenye msiba wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Mjane na watoto wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge wakiwa msibani kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge ukiwa tayari kuswaliwa kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Habari zaidi bofya: HAPA
0 comments:
Post a Comment