Kapingaz Blog

Friday, August 4, 2017

BREAKING NEWSS:: MAALIM SEIF NA PROFESA LIPUMBA WAENDELEA KUWASABABISHIA VILEMA WANACHAMA WAO: Watwangana Ngumi tena Mahakamani leo


Wanachama wanaomuunga mkono Maalim Seif na wale wanaomuunga mkono Prof. Lipumba wamepigana wakiwa eneo la Mahakama Kuu ya Tanzania leo.


0 comments: