Kapingaz Blog

Sunday, August 13, 2017

KINANA AENDESHA SEMINA YA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA BARA NA VISIWANI


 Naibu katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza
kabla ya ufunguzi wa  semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa
na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi
wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
Habari kwa kina bofya: HAPA

0 comments: